GET /api/v0.1/hansard/entries/1179927/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1179927,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1179927/?format=api",
    "text_counter": 333,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimekaa hapa nikapitiwa na taswira moja iliyotokea kule jijini London mwaka wa 1952. Wenyewe waliita the Great Smog of London wakati wa Prime Minister Winston Churchill. Kulikuwa na mabadiliko ya hewa ambayo yalikaa kwa muda wa siku nne mfululizo na kuwaua watu elfu kumi."
}