GET /api/v0.1/hansard/entries/1180937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1180937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1180937/?format=api",
    "text_counter": 323,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa ku support mjadala huu kwa kina sana. Tukiangalia boda boda kweli wako wengi katika taifa hili. Lakini ukiangalia vizuri utapata hata zile pikipiki zao wanachukua kwa deni kisha wanalipa mara mbili ya vile ilikuwa. Pengine zikitengenezwa hapa nyumbani zitawafaa zaidi. Ningependa kusema vijana wetu wanaharibika kule mashinani na wengine wameingia katika drugs . Vikundi haramu vinamaliza watu kule vijijini. Hii ni kwa sababu wamekosa kazi. Watu wengine wanachukua advantage ya hali yao na kuwaingiza katika vitu ambavyo havifai. Napongeza sana Serikali kwa mjadala huu wa kuweza kufungua viwanda vya kutengeneza magari yetu ama tuk tuk. Absa Motors wako pale wanasubiri na pengine tunaweza kupunguza bei ama ushuru wa vitu ambavyo wanaleta ku assemble gari na tuk tuk. Tupunguze kwa muda wa miaka mitatu au mitano ndiyo tupatie vijana nafasi ya kuingia katika industries hizi waweze kujifunza. Wakijifunza pengine kwa miaka mitatu au mitano wataboresha hii"
}