GET /api/v0.1/hansard/entries/1181048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181048,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181048/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ni jukumu letu na la Serikali kuwaonesha wananchi manufaa ya ile miti na manufaa itapatikana tu, ikiwa itampatia mtu kuweza kupata lishe yake. Kwa mfano; ukitembelea sehemu nyingi ambako kuna hii misitu, wananchi wanauliza faida ya hii misitu ni nini? Hii ni kwa sababu mwananchi asipopata faida ya misitu, hatapata manufaa yoyote kwa ile misitu. Hii ni kwa sababu yeye anataka lishe na manufaa kwa kiti kilichoko katika sehemu ile."
}