GET /api/v0.1/hansard/entries/1181049/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181049,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181049/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, hata ijapokuwa naunga mkono ni jukumu ya Serikali kuambia mwananchi ndio. Hii ni kwa sababu nilipokuwa nikiangalia katika runinga kama nilivyosema, niliona wananchi wakiwa na furuha. Wanasema wakingoa ule mti wa mubuyu, wanapata sehemu ya kupata chakula chake."
}