GET /api/v0.1/hansard/entries/1181051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181051,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181051/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ni kama yale mazingira na zile hela zinapatikana wakati tuna hii maneno ya control of carbon emmisions, wananchi wenyewe waweze kupatiwa zile hela ndio waweze kuwa na motisha ya kuweza kuchunga mazingira. Kwa mfano: kama ni ile miti mtu anajua ndio huu mti utanisaidia."
}