GET /api/v0.1/hansard/entries/1181052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181052,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181052/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nimesikia, kwa mfano, ukitembea huko Mau, unapata kunakuwa na vurugu ya yule ambaye anafaidika. Hii ni kwa sababu akichunga ng’ombe wake katika ule msitu, yeye anapata lishe na yule ambaye angelitaka kulima pale ndio apate lishe--- Kwa hivyo, ni lazima kama Serikali tujue ya kwamba kila mtu anapata manufaa ya mazingira ambako anaishi. Hiyo nadhani ingelikuwa ni nzuri Zaidi."
}