GET /api/v0.1/hansard/entries/1181053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181053,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181053/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Vile ambavyo ningependa kuihamasisha hii Kamati ni waangalia na watafute jambo la kudumu kwa mti wowote. Tunaweza kusema ndio miti iling’olewa na ikabebwa. Lakini, kama mwananchi angejua umuhimu wa ile mti kung’olewa na iondolewe, angekataa na angepigana ule mti usingolewa, kwa sababu anajua manufaa yake."
}