GET /api/v0.1/hansard/entries/1181054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181054,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181054/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Lakini ikiwa ule mti atauza katika nchi za ugaibuni na aweze kupata lishe, basi anasema liwalo na liwe. Nilipokuwa nikisikiza, nimesikia miti hii ya mibuyu imekaa zaidi ya miaka 300 pale karibu miaka 200. Yule jamaa akiangalia anasema huu mti umekaa hapa miaka hiyo yote na hajaona manufaa yake na ikiwa mti wenyewe ukiuzwa atapata elfu zake kumi, watoto angalau wapate karo anaona hiyo ni nzuri kushinda mazingira yake."
}