GET /api/v0.1/hansard/entries/1181056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181056,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181056/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Siku ya leo tuseme tu ya kwamba, ndio, hii miti ni mizuri, lakini baadaye wananchi wenyewe hawaelewi faida yake. Hii ni kwa sababu tukiwaelimisha wananchi kuhusu faida yake watakuwa wao wenyewe wakilinda mazingari."
}