GET /api/v0.1/hansard/entries/1181057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181057/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nimetoka Laikipia, mahali ambapo tuna mashamba makubwa na kuna miti nyingi. Lakini wananchi wanasema ndovu wanatoka katika yale mashamba, wanakuja wanakula katika mashamba yetu na kula mimea yetu na hawapati faida yeyote katika zile sehemu ambako hawa wanyama wamefugwa."
}