GET /api/v0.1/hansard/entries/1181059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181059/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kwa hivyo, unapata hawa wananchi wataenda kukaa pale, wakate ile miti kwa sababu hawapati faida yeyote. Kwa hivyo, faida ni lazima ionyeshwe kwa wananchi ndio waweze hata wao kufurahia na waweze kuwa wao ndio watakuwa wakilinda mazingira yetu."
}