GET /api/v0.1/hansard/entries/1181273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181273,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181273/?format=api",
"text_counter": 313,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "na kupata ugonjwa wa kiharusi na kutojiweza kabisa. Kusema kweli, inasikitisha sana. Bi. Spika wa Muda, juzi tulitembelewa na balozi wa Qatar. Alisema ni kweli ameona Wakenya nchi yao na wanazungumza vizuri sana. Ukifika Doha vile Seneta Orwoba amesema, Wakenya ndio wanakukaribisha kwa furaha."
}