GET /api/v0.1/hansard/entries/1181276/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181276,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181276/?format=api",
"text_counter": 316,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Nilipozungumza na hao Waarabu, walisema wanapenda Wakenya. Wao huajiriwan zaidi kwa sababu ya bidii yao ya kufanya kazi na pia kuwa watu wazuri sana. Balozi wa Qatar, Jabor Bin Ali, alipotembelea Bw. Spika aliuliza kwa nini hatujasikia mambo ya Qatar. Pia alisema kama kuna shida kama hiyo, twende kwa Balozi, tukae chini tuweze kuiangalia kwa kinaga ubaga."
}