GET /api/v0.1/hansard/entries/1181278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181278,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181278/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Ningetaka kumwalika Seneta Veronica Maina ile siku tutakuwa na nafasi twende naye kwa sababu Balozi wa Saudia amenialika kwake ili tuzungumzie mambo haya. Pia, ningeomba “hustler Nation” kwa hii Serikali ya Mhe. Rais William Ruto itafute nafasi na kupea watoto wetu kazi hapa. Tusiwasumbue sana. Watoto wetu wanaenda kutafuta riziki yao kwa sababu imekosekana hapa."
}