GET /api/v0.1/hansard/entries/1181280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181280,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181280/?format=api",
"text_counter": 320,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "La mwisho, nawapa pole wazazi na familia za wale wote wamepoteza watoto wao na ndugu zao huko Saudi Arabia. Inasikitisha sana kuona maiti ikiletwa kila siku. Kwa nini Saudia Arabia? Saudia Arabia iko karibu na kule sisi Waislamu tunaita Mecca. Tunashangaa ni kwa nini unyama huu unatendewa watu wetu wetu. Sisi tunajua Wakenya wana bidii katika kazi na wengi wao ni waaminifu. Labda nchi zingine zinalia vile sisi tunalia kwa hawa watu wetu."
}