GET /api/v0.1/hansard/entries/1181282/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1181282,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181282/?format=api",
    "text_counter": 322,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Kama umepoteza jamaa wako, pesa haiwezi ikakusaidia. Lakini, hizo pesa zitasaidia wazazi ambao wasichana na vijana wao walioenda kufanya kazi lakini wakarudi kama maiti. Namshukuru dada yetu, Sen. Orwoba, kwa kutufungua macho kupitia mambo ambayo ameleta hapa. Amesema tuangalie mambo mengine ili tujue kama shida hizi zinaletwa na mawakala au kwenye wakaazi wa Saudi Arabia na kazi yao. Ikiwa mikataba yao imeisha, inafaa iangaliwe ili tujue mbona wanakumbwa na shida hizo. . Naomba kuunga mkono Hoja hii. Asante."
}