GET /api/v0.1/hansard/entries/1181385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1181385,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1181385/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Kusema kweli, hivi sasa tumeangalia katika nchi hii na kuna mambo mengi sana ambayo yanatukumba. Kwa wakati kama huu, kuona kwamba tunaangalia mambo ya hivyo vyeo vya juu na kila kitu juu ya hiyo Petition ambayo imeletwa, tuna mambo muhimu sana juu ya hiyo Petition . Ijapokuwa tunashukuru ameweza kuleta mambo ambayo ni muhimu sana katika nchi hii yetu, lakini kwa wakati kama huu, tulivyo na njaa na vitu vingine, ni muhimu sana kuona kuwa wafanyibiashara wengi hivi sasa hawawezi kufanya biashara. Tukiangalia Mombasa Liner, mdosi wao ameng’ang’ana sana katika mambo kule barabarani na vitu vingine na wafanyibiashara wengine wengi."
}