GET /api/v0.1/hansard/entries/1183756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1183756,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1183756/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika. Nataka kumpa kongole ndugu yangu Sen. Chararkey, Seneta mchapa kazi wa Nandi. Bw. Spika, kama ingekuwa hii nchi haina mahindi sijui watu wangeishi namna gani. Kwa sababu ukiangalia, asilimia tisaini ya Wakenya wanategemea mahindi. Nchini Kenya utaona kwamba hakuna nyumba yoyote ambayo hawatumii mahindi. Kwa hivyo"
}