GET /api/v0.1/hansard/entries/1183758/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1183758,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1183758/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ni jambo la kusikitisha sana kuona ya kwamba katika hii nchi ambayo tunasema ukulima ndio uti wa mgongo, yako maeneo fulani ambayo yanaweka chakula mpaka tunaita foodbasket, yani mfuko wa chakula cha watu wa Kenya. Ukienda katika Bonde la Ufa kule kuna wakulima wa mashamba makubwa. Hata ukija maeneo ya pwani kuna wakulima fulani katika maeneo fulani ambao wao pia wanalima mahindi na hilo ndilo tegemeo la Mkenya. Hivi leo"
}