GET /api/v0.1/hansard/entries/1184348/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1184348,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1184348/?format=api",
    "text_counter": 383,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "Kama vyakula vya GMO vingekuwa vyakula ambavyo havina madhara, basi ulimwengu mzima hivi sasa ungekuwa hauna janga la njaa, na ungekuwa umekubali mambo hayo. Nchi nyingi sana zimekataa jambo kama hili. Taasisi nyingi za utafiti za kisayansi zimekataa vyakula hivi. Kule sehemu za Amerika, ukipata tomato na uiangalie…"
}