GET /api/v0.1/hansard/entries/1185163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1185163,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185163/?format=api",
    "text_counter": 772,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asanti, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja ya, Sen. Madzayo, kuhusu matumizi ya chakula cha GMOs ama vyakula vya kisaki-kwa Kiswahili sanifu- ama vyakula vya viini tete ambavyo Waziri wa Mambo ya Biashara alitangaza juzi viatakubaliwa nchini Kenya. Najiunga na wenzangu wanaopinga uamuzi wa waziri wa kuleta vyakula hivi kwa sasa katika nchi yetu ya Kenya. Kwanza kabisa, hatujakuwa na u---"
}