GET /api/v0.1/hansard/entries/1185167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1185167,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185167/?format=api",
    "text_counter": 776,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Sijasema chakula cha Genetically Modified Organisms (GMO) kina viini. Lakini GMO ni Genetically Modified foods ambapo genetics kwa Kiswahili tunaiita vinasaba. Vinasaba ndio genetics. Kwa hivyo hivi ni vinasaba tete kwa sababu ni vinasaba ambavyo havijulikani vimeundwa kwa misingi gani. Ndio vikaitwa vinasaba tete kwa sababu havikubaliki kisayansi. Bw. Spika wa Muda, kwa lugha nyingine ya Kiswahili ni vyakula vilivyobadilishwa vinasaba. Kwa hivyo, ni kwamba kwa sasa hatuna utaalamu hapa nchini Kenya. Nikimnukuu Sen. (Prof.) Kamar, alisema swala hili lilikuwepo 2012 wakati walipopiga marufuku matumizi ya vyakula hivi. Sababu kuu ikiwa hakukuwa na"
}