GET /api/v0.1/hansard/entries/1185169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1185169,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185169/?format=api",
    "text_counter": 778,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "utafiti wa Kisayansi wa kutosha kuthibitisha kuwa vyakula hivi vilikuwa salama kwa Wakenya. Mpaka sasa, hatujapata utafiti kamili wa kuthibitisha vyakula hivi viko salama kwa wakenya. Kule Kitui, kuna wakati ndugu zetu walifariki kwa kula mahindi yaliyokuwa yameharibiwa na sumu ya kuvu. Bw. Spika wa Muda, naomba unilinde kwa sababu sitaweza kumaliza. Nimekwisha washiwa taa hapa, point of order zinakuja pia. Angeniliwacha nimalize kuchangia halafu yeye atapewa fursa nyingine. Bw. Spika wa Muda tunasema kwamba-- -"
}