GET /api/v0.1/hansard/entries/1185171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1185171,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185171/?format=api",
    "text_counter": 780,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr) Khalwale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 170,
        "legal_name": "Bonny Khalwale",
        "slug": "bonny-khalwale"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, rekodi ya Nyumba hii lazima ionyeshe ukweli. Sen. Faki anatuambia maana ya viini ni genetics kwa lugha ya kimombo. Na kulingana na kamusi, na kwa idhini yako, naomba nisomee hii nyumba maana ya viini. Kulingana na kamusi ‘viini ama vijidudu kwa lugha ya kimombo ni germs ama chombo chochote kinacholeta magonjwa. Je, ni haki kwa Seneta anayejigamba kutoka Pwani kupotosha hii nyumba kwamba viini ni genetics na sisi tunajua ni vijidudu?"
}