GET /api/v0.1/hansard/entries/1185178/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185178,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185178/?format=api",
"text_counter": 787,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, itakuwa ni tabia mbaya sana kama utaruhusu kitu kama hiki kutendeka. Kama Seneta anaongea, huwa kwa akili yake amejipanga vile ataeleza fikira zake. Ikiwa sasa itakuwa ni werevu au kusimama tu na kusema niko na hoja ya nidhamu, halafu aanze kuongea mambo kiholela, ni lazima ulinde yule anayeongea. Yule anayeongea ana haki ya kuongea bila kutatizwa."
}