GET /api/v0.1/hansard/entries/1185187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185187,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185187/?format=api",
"text_counter": 796,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa kumalizia, wiki tatu zilizopita, nilizungumzia zile dawa za kututumua mwili ambazo dada wengi wanatumia kupanua makalio. Hivi vyakula vya Kisaki ama Genetically Modified Organism (GMO) vitakuwa na athari kama hiyo ambayo kwa sasa hatujui. Tayari, kuna mkurupuko ya magonjwa ya cancer nchini mwetu. Cancer za koo na za matiti kwa kina dada. Saratani za tumbo kwa watu wengi zimeongezeka haza kwa wanaume ambao zaidi wanapata athari kama hizo. Kwa sasa, tukiruhusu vyakula hivi, itakuwa tunahatarisha maisha ya wananchi wa Kenya."
}