GET /api/v0.1/hansard/entries/1185188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185188,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185188/?format=api",
"text_counter": 797,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, mwisho ni kuwa, ilikuwa ni kejeli kwa Waziri Moses Kuria kusema kuwa wananchi wa Kenya tayari wanakufa na wanaendelea kufa kwa hivyo hata wakifa kwa GMO itakuwa hakuna hasara yoyote. Hiyo ni kuonyesha kwamba hajali maisha ya Mkenya katika nchi yetu."
}