GET /api/v0.1/hansard/entries/1185805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185805/?format=api",
"text_counter": 50,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, niko na hoja ya nidhamu. Hoja yangu nikwamba Seneta wa Kaunti ya Nandi, anazungumzia ripoti ya Ruaraka iliyoletwa katika Bunge la Kumi na Mbili. Yeye ni mmoja kati ya wale Maseneta waliopiga kura kuangusha Ripoti hiyo. Je, ni haki kuzungumzia Ripoti ambayo yeye mwenyewe alikuwa ni mmoja wa wale ambao walipiga kura kuangusha?"
}