GET /api/v0.1/hansard/entries/1185819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185819/?format=api",
"text_counter": 64,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Wakati huo, Sen. Cherarkey alikuwa upande wa serikali. Walisema kuwa hawatakubali Ripoti ambayo inahusisha Waziri kupita katika Bunge hili, kisha wakaiangusha. Akubali kuwa alipiga kura ama asikubali. Ikiwa hatakubali rekodi ya Bunge inaweza kuitishwa ili tuone jinsi alivyopiga kura."
}