GET /api/v0.1/hansard/entries/1185985/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1185985,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1185985/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, nimesikia ndugu yangu Sen. (Dr.) Khalwale, akisema kwamba kaunti ambazo zimetengwa hazijakubalika. Swala la awamu ya pili ya kaunti ambazo zimetajwa kutengwa, lililetwa katika hili Bunge Muhula uliokwisha. Kaunti hizo ziliongezeka ninafikiri 14 hadi 32 au 34. Hizo ndizo sasa zinatambulika kama marginalized counties. Kwa hivyo, Sen. (Dr.) Khalwale anapoteza Bunge hili anaposema kuwa kaunti zilizotengwa hazijakubalika. Inafaa arekebishe swala hili."
}