GET /api/v0.1/hansard/entries/1186451/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1186451,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186451/?format=api",
    "text_counter": 257,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": "Kule Kaunti ya Kilifi, niko na wanafunzi wa udhamini kamili. Wanaenda kufanya mtihani na hatujamaliza kulipa karo zao. Kwa sababu hatuna kesi ya NGAAF, itakuwa bora tupewe pesa, kama itawezekana, hata wiki ijayo ili wale wanafunzi ambao tumewasimamia kutoka kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne na ada za shule tuwalipie kikamilifu ili wafanye mtihani. Wale wa pesa ndogo za bursary ambazo pia tunalipa, waweze kulipiwa. Yale mashirika ambayo yanatuunga mkono na kufanya kazi na akina mama, vijana na ndugu zetu wanaoishi na ulemavu, wanaweze kusaidika. Tarehe moja Disemba ni siku ya walemavu nchini…"
}