GET /api/v0.1/hansard/entries/1186456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1186456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186456/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Mhe. Spika wa Muda, kupanda miti kando ya barabara ni muhimu sana. Miti inasaidia kunyonya hewa chafu kutoka kwa mazingira na kuachilia hewa safi ambayo tunatumia. Miti husaidia sana kuboresha mazingira. Afya za watu wengi mahali kuna miti ziko imara kuliko mahali hakuna miti. Miti ikipandwa kando ya barabarani ama mitaani itazuia mmomonyoko wa udongo. Ukipanda miti, hata wakati wa mvua hakutakuwa na mafuriko. Katika sehemu ambako hakuna miti, mafuriko yanakuwa makubwa na athari zake zinakuwa kubwa zaidi."
}