GET /api/v0.1/hansard/entries/1186457/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1186457,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186457/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "Uzuri wa kupanda miti ni kwamba kunafanya mahali panapendeza. Wakati wa ukame, kunakuwa na maua aina fulani yanayotoka. Wakati wa mvua pia kunatokea maua ya aina fulani ambayo hutupatia vivuli katika sehemu zile. Miti pia ni muhimu sana kwa sababu kuna viumbe wanaolala hapo, kama vile ndege ambao wanakwenda pale usiku. Hapo ndipo nyumba zao. Kwa hivyo, ni muhimu kwa mkandarasi yeyote anayejenga barabara alazimishwe apande miti. Miti husaidia watu wengi na hata viumbe vingine ambavyo vinaishi katika miti hiyo."
}