GET /api/v0.1/hansard/entries/1186605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1186605,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186605/?format=api",
"text_counter": 411,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuri Aburi",
"speaker": null,
"content": "Ningependa kumuunga mkono Mbunge aliyeleta Hoja hii ili Serekali ya wakati huu iendeshe gari lao likiwa na side mirror kwa sababu inasemekana kwamba usiendeshe gari bila vioo hivi. Hii itawasaidia kuangalie mambo yalivyotendeka zamani."
}