GET /api/v0.1/hansard/entries/1186692/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1186692,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186692/?format=api",
    "text_counter": 39,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ni vizuri tumeweza kuwapongeza wakati huu, wala sio kuwakumbuka tu wakati wamekumbwa na shida. Ninaunga mkono alivyosema, Seneta wa Kaunti ya Nandi, Sen. Cherarkey. Amesema ya kwamba Serikali ichukue jukumu la kutumia hawa wanariadha kama mabalozi ili wawakilishe Kenya yetu katika sehemu wanazotembelea."
}