GET /api/v0.1/hansard/entries/1186795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1186795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186795/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "sababu ya wasiwasi. Sasa hivi, Serikali imepiga marufuku mikutano kufanyika katika mahoteli kama hayo. Bw. Spika, iwapo agizo hili litatekelezwa, itaamaanisha ya kwamba wale wawekezaji wa biashara za hoteli, watakosa kupata faida yoyote, mwaka huu wa 2022. Agizo hili litaadhiri uchumi kwa sababu mapato yanayotokana na utalii yataweza kupungua na hata yale malengo ya Serikali ya kukusanya pesa walizotarajia mwezi wa sita, bajeti iliposomwa, hayataweza kutimizwa. Ningependa swala hili liangaliwe kwa haraka, kwa sababu tayari tunafikia mwisho wa mwaka na wangependelea angalau wapate faida kidogo, ili waweze kuregesha raslimali zao mwaka huu wa 2022. Asante, Bw. Spika."
}