GET /api/v0.1/hansard/entries/1186816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1186816,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186816/?format=api",
"text_counter": 163,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika, nasimama kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu, Kipengele cha 53, kuomba Taarifa kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili, kuhusu ubomoaji wa nyumba na kufurushwa kwa wakazi wa Kijiji cha Pindukiani, Wadi ya Ganda katika Eneo Bunge la Malindi, Kaunti ya Kilifi. Katika Taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo- (1) Sababu zilizopelekea ubomoaji wa kiharamu ama kinyume na sheria kwa makazi ya familia ziadi ya 200 katika Kijiji cha Pindukiani, Wadi ya Ganda, Eneo Bunge la Malindi, katika Kaunti ya Kilifi."
}