GET /api/v0.1/hansard/entries/1186818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1186818,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186818/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "(2) Kwa nini ubomozi huo ulitekelezwa kinyume na agizo la Mahakama Kuu, lililosimamisha ubomozi hadi kesi ya mzozo kuhusu ardhi hiyo itakapotatuliwa. (3) Umiliki sahihi wa hati miliki kutoka kwa wakazi wa eneo hilo na iwapo mhusika aliyebomoa alikuwa na kibali kutoka kwa mahakama kuidhinisha utekelezaji huo. Bw. Spika, kwa kufafanua zaidi, ningependa kujua kama alikuwa na order ya kubomoa nyumba katika kipande hicho cha ardhi ama alivamia kijiji kingine ambacho watu wana hati miliki na kuanza kubomoa nyumba. (4) Ningependa wanakamati wazuru Kijiji cha Pindukiani na kubaini kama sehemu hiyo inayodhaniwa kuwa katika eneo ambapo nyumba zilifaa kubomolewa. Je, watu ambao walikuwa wanaishi kwenye shamba hilo la ekari 60 ambapo kulikuwa na ubomozi watafidiwa kivipi? Asante."
}