GET /api/v0.1/hansard/entries/1186846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1186846,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1186846/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Pale Ukunda kuna ardhi ya ekari elfu moja ambayo lease yake ilimalizika. Juzi maafisa wa polisi walikuja pale na mabwenyenye wengine wakavunja karibu nyumba mia nane au mia tisa. Ukiangalia, haki iko wapi hapo. Leo hii, tumemsikia Mhe. Sen. Madzayo akileta Statement kama hiyo kutoka Kaunti ya Kilifi."
}