GET /api/v0.1/hansard/entries/1187000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1187000,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1187000/?format=api",
    "text_counter": 347,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Siku zote, maji mazuri huwa na nguvu yanapotoka juu. Ni jambo la kusikitisha kwamba hivi leo, eneo la chini la Mto Tana, hasa mji wa Kipini, unaweza kupotea wakati wowote. Kipini ndio ulikuwa mji wa kwanza. Mji wa Hola ni wa juzi tu. Nilikuwa huko na ni jambo linalosikitisha kuona mji wa Kipini uko kidengudengu. Mji huo uko mwisho kwenye cliff . Sio busara kuruhusu jambo kama hilo."
}