GET /api/v0.1/hansard/entries/1187001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1187001,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1187001/?format=api",
    "text_counter": 348,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni muhimu Serikali yetu iheshimu mikataba ya kimataifa ambayo tumejumuisha katika sheria zetu. Wale wanaoishi katika maeneo ya chini ya mito, wapewe heshima zao. Serikali nayo ifanye vyovyote vile kuona maji mazuri yamewafikia wale watu."
}