GET /api/v0.1/hansard/entries/1191124/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1191124,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191124/?format=api",
"text_counter": 4113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Akupe heshima zako kama Spika. Nikimalizia, lazima zile idara husika katika mambo haya ya mbolea kutoka nje ziangalie zinaletea Wakenya nini. Tusifanye Wakenya kama wanyama; wanatupiwa kitu chochote kama mbwa na kuweka ndani ya miili yao. Tutakuja kulimaliza taifa hili kwa maradhi. Na hawa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}