GET /api/v0.1/hansard/entries/1191125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1191125,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191125/?format=api",
    "text_counter": 4114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "wanaoleta mbolea hizi wamezikataa huko kwao. Lakini mimi nafikiria huu ni ule mpango wa kupunguza nambari za wananchi katika dunia. Ndio maana matatizo yote yanabwagwa hapa. Naiomba idara husika ichukue hatua kali na tupatie Wakenya vyakula vilivyosawa. Ahsante sana, Bw. Spika wa Muda. Mimi ni Mbunge wa Mombasa, na kila siku nawatetea wananchi wa Mombasa."
}