GET /api/v0.1/hansard/entries/1191531/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1191531,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191531/?format=api",
"text_counter": 374,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, utaona ya kwamba, sasa polisi wametaarifiwa na halafu walipoondoka, wale watu wamerudi tena. Hivi sasa tunavyoongea, wameingia na mifugo yao maeneo ya Kamale katika lile ziwa la Dera, wameweka ngamia hapo wanakunywa maji."
}