GET /api/v0.1/hansard/entries/1191783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1191783,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191783/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Inafahamika kwamba awali, kuna Hoja ilipitishwa na Jumba hili kuhusiana na uteuzi wa Makamishna wa Tume ambayo tunazungumzia juu yake. Kubatilishwa kwa Hoja hiyo katika Bunge la Seneti si jambo geni na hatutaki kuambiwa kwamba ni Seneti inabadilisha. Hii ni mazoea na tabia ya ndugu zetu katika mrengo wa Azimio ambao ni ODM kufanya siasa za udanganyifu."
}