GET /api/v0.1/hansard/entries/1191786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1191786,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191786/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Laikipia North, JP",
    "speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Wao wanacheza siasa za ulaghai na unafiki. Ndugu zetu kutoka ODM ni wanafiki wabaya sana. Nataka kusema nikisimama kwenye Jumba hili kwamba tulipojiunga nao, hatukushurutishwa ama kulazimishwa. Tukitaka talaka, hatutashurutishwa. Tutawataliki jinsi tunavyotaka."
}