GET /api/v0.1/hansard/entries/1191787/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1191787,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1191787/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Laikipia North, JP",
    "speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Mimi nasema hivi kwa sababu nilipokuwa nagombea kiti changu katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini, Mhe. Junet na kiongozi wa chama chake walikuja kumpigia debe aliyekuwa mshindani wangu katika chama cha ODM. Na kama hiyo haijatosha, wametufuata na dhuluma katika Jumba hili. Sisi tukiomba nafasi yetu katika Tume siyo tafadhali. Ni haki yetu. Sisi tukiomba kuwakilisha watu wetu katika kamati za bunge hii siyo tafadhali kwa maana tulipigania. Ndugu zangu wa muungano wa Kenya Kwanza msubiri maanake hamkuwa makasisi katika ndoa yetu na hamtakuwa makasisi katika talaka yetu."
}