GET /api/v0.1/hansard/entries/1192057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1192057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192057/?format=api",
    "text_counter": 74,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni shule ya ajabu. Mwenye hiyo shule angesaidika na kutambuliwa. Naomba Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu aendelee kuwasaidia hao watoto walemavu. La mwisho, ningependa wanaojiweza kokote humu nchini, waige mfano wa Hasu wa Mombasa Cement. Ikiwa una uwezo na pesa, hakuna haja ya sisi kukutambua kama tajiri ilhali hakuna hata mtoto mmoja mlemavu unayemsomesha au kumpa usaidizi wa aina yeyote."
}