GET /api/v0.1/hansard/entries/1192063/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192063,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192063/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Wanapata shida kupata matibabu. Mtoto anapokuwa mgonjwa, inabidi mamake ambebe hadi hopitalini. Wazazi wengine hawana uwezo wa kukomboa gari ama boda boda. Unakuta mama amebeba mgongoni mtoto mzito kwa sababu ni mtoto wake. Nashukuru sana Sen. Crystal Asige kwa kuleta Taarifa hii. Namatumai ukipelekwa kwenye kamati ambayo inastahili, watahakikisha kwamba Serikali itachukua hatua. Bw. Spika, naunga mkono ."
}