GET /api/v0.1/hansard/entries/1192093/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1192093,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1192093/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nimesikia Mhe. Munyi Mundigi, Seneta wa Embu akizungumzia swala la Muguka. Swala hili kwa watu wa Mombasa limezua utata kwa sababu ulaji wa Muguka umeharibu nyumba nyingi na vijana wengi sana. Hao vijana badala ya kufanya kazi wanarandaranda, wanawacha mabibi zao nyumbani---"
}